Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

Mkuu turipotie tu, mbona mimi niliripoti mechi yetu na Sofapaka hadi tunafungwa goli la tatu ndo simu ikaishiwa chaji.

Nimerudi mtani na'report,najua tutasawazisha tu tatizo kuna hatari hiki kipindi cha 2 kitachezwa dk 20 tu,Jamaa wanajiangusha sana
 
aikiingia Mbuyu, niyonzima,kavumbagu wallah kagera tuna wafunga..
 
Hivi hawa Kagera wataacha kutuotea lini?
 
berko,j abdul,mwasika,nadir,twite,chuji,nizar,domayo,bahanus/tegete,kavumbagu,niyonzima

........................ kama kawaida yao wachezaji wa mataifa SITA tofauti... Uganda, Rwanda, Burundi, Ghana, Congo na Tanzania...............
 
Dakika zimeyoyoma ile mbaya
 
........................ kama kawaida yao wachezaji wa mataifa SITA tofauti... Uganda, Rwanda, Burundi, Ghana, Congo na Tanzania...............

Yes, ndo maana na machampioni wa kombe la kimataifa!
 
Mi nafikiri kuyumba kote huku ametusababishia Minziro
 
Nimerudi mtani na'report,najua tutasawazisha tu tatizo kuna hatari hiki kipindi cha 2 kitachezwa dk 20 tu,Jamaa wanajiangusha sana

asante sheikh yahya kwa utabiri mwanana hasa wa kurudisha magoli na kucheza dk 20 tu kipindi cha pili.......
 
Nasemajee....ishakuwa soo!
 
Ishakuwa soo jamani,dakika ya 40 hii
 
adui yako muombee njaa kudadafeki..yanga timu fungwa hivyo hivyo..
 
Back
Top Bottom