Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

Kagera leo lazima waondoke na alama tatu muhimu
 
uhuru,radio ya magamba wanatangaza.

Poa Mh. niwewapata hao Uhuru fm lakini inaonekana wanamtambo mdogo sana unakamata kwa shida..... hizi pesa wanazopata zote sijui ni kwa nini hawanunui mitambo kama ya ITV na Radio Free Africa
 
Dah kweli mikoani sio mchezo ndo mana mtani mechi zake zote kacheza daslam

Siyo mchezo Kaka ukichukulia sisi ni wa kutafuta matokeo ya uwanjani,hatujazoea ile technic ya wenzetu...tungekuwa tunai'apply ile Kagera wangepungua hlf tukapata na penalt hawa Shomile wangetukoma
 
Yanga tutakua tunaonewa na hawa marefa,inakuaje hzi timu ndogo zinatusumbua?tumetumia hela nying kusajili,usajili uliokua bora kuliko timu yoyote,lakini ndo hvo,droo 2,2mefungwa 1 tumewin 2,cjui na hii kma tutatoka,mbna mtani ajafungwa?hz ni hira za marefa na tff tu.
 
Kagera Sugar imesheheni Simba tupu kuanzia Kocha Kibadeni hadi wachezaji wa ndani to mention few Salum Kanoni na Shija Mkina
Kwa staili hiyo mtani kumbe timu kibao zimesheheni Simba: Yanga-Yondani, Mustapha, Chuji na Nurdin Bakari; Azam-Jabir Aziz na Deo Munishi; Coastal-Said Swedi, Juma Jabu na Jerry Santo.
 
Yanga tutakua tunaonewa na hawa marefa,inakuaje hzi timu ndogo zinatusumbua?tumetumia hela nying kusajili,usajili uliokua bora kuliko timu yoyote,lakini ndo hvo,droo 2,2mefungwa 1 tumewin 2,cjui na hii kma tutatoka,mbna mtani ajafungwa?hz ni hira za marefa na tff tu.

Wanabana tu,wataachia wenyewe stay tuned
 
Dah kweli mikoani sio mchezo ndo mana mtani mechi zake zote kacheza daslam

Usichanganye mambo!! .............. hizi mechi ni home & away (nyumbani na ugenini) kila timu itacheza na mwenzake kulingana na ratiba
 
Kwa staili hiyo mtani kumbe timu kibao zimesheheni Simba: Yanga-Yondani, Mustapha, Chuji na Nurdin Bakari; Azam-Jabir Aziz na Deo Munishi; Coastal-Said Swedi, Juma Jabu na Jerry Santo.

Mtani kumbe upo,naona unasikilizia tutapunguza gap kwa magoli mangapi...anyway hao wote uliowataja hamuwamiliki tena mlishawauza,lkn Mkina na Salum Kanoni kumbuka wapo Kagera on loan hivyo bado wapo kwenye payroll yenu
 
Juzi kati Yanga wameepuka kuchapana bakora kwa kubebwa na mwamuzi pale taifa dhidi ya Mnyama mkali aina ya Simba. Leo lazima kinuke Jangwani.This time Mzee Akilimali atakuja na sound gani sijui!
 
Nasikia hata Kibadeni yuko kule kwa mkopo,hivi Kagera ni tawi lenu nini?
 
Siyo mchezo Kaka ukichukulia sisi ni wa kutafuta matokeo ya uwanjani,hatujazoea ile technic ya wenzetu...tungekuwa tunai'apply ile Kagera wangepungua hlf tukapata na penalt hawa Shomile wangetukoma
Mkuu hiyo technic mlitumia kwenye mechi za kirafiki mkaona sio nzuri, halafu kumbukeni mechi za Kagame Twite ndo aliwanufaisha dhidi ya mechi na APR sasa nyie badala ya kumwacha aende timu pinzani ili awanufaishe nyie mkamchukua tena, pole zenu.
 
Kuanzia leo natangaza rasmi kuhama timu,nahamia simba.. yanga ful mastress.
 
Back
Top Bottom