tathmini ya haraka haraka nani anamiliki zaidi!Hao Kagera wanavyokomaa...sijui wameahidiwa nini?
na hiyo avatar yake ataendelea ku-report hadi mwisho kweli!!Kagera nipeni rahaaa
umeiona avatar yake!!labda mambo yasha haribika!!mbona kimya au umeme wamechukua wenyewe?
endelea kutupa taarifa ya hiyo mechi tafadhali, maana hakuna radio inayotangaza hiyo ya tbc radio ta taifa kwetu haishiki
ha ha ha ha ha!!haya bwana naona ile 69% unaikumbuka vizuri!50%,50% si kama ile 69% kwa 31% ya siku ile,hawa Jamaa wapo vizuri