Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

Yanga wamelizika na draw dhidi ya simba! walitumia gharama kubwa kumkabili mnyama! leo ndio tutajua kama wana kocha au fundi bomba.
 
Mtani kumbe upo,naona unasikilizia tutapunguza gap kwa magoli mangapi...anyway hao wote uliowataja hamuwamiliki tena mlishawauza,lkn Mkina na Salum Kanoni kumbuka wapo Kagera on loan hivyo bado wapo kwenye payroll yenu
Mtani mie nawaombea mpate draw mechi zote za kanda ya ziwa tena za bila magoli, siwaombei mfungwe lakini siombei mshinde pia maana mtajidai mno ukizingatia mwaka jana mlipoteza zote.
 
Yanga tutakua tunaonewa na hawa marefa,inakuaje hzi timu ndogo zinatusumbua?tumetumia hela nying kusajili,usajili uliokua bora kuliko timu yoyote,lakini ndo hvo,droo 2,2mefungwa 1 tumewin 2,cjui na hii kma tutatoka,mbna mtani ajafungwa?hz ni hira za marefa na tff tu.

...............sijui ni lafudhi ya kiswahili au vipi hila sio hira, na pamoja na hayo inaonekana hujiamini na timu yako kama ndiyo wengi mko hivyo mtapata presha..... mbona bado mechi nyingi?
 
...............sijui ni lafudhi ya kiswahili au vipi hila sio hira, na pamoja na hayo inaonekana hujiamini na timu yako kama ndiyo wengi mko hivyo mtapata presha..... mbona bado mechi nyingi?

usijali kwa hlo wanganda waliaharibu lugha yangu na kiswahli changu,af nawazingua yanga tu mi chama langu simba.
 
Kagera naona wanasaka ushindi wa droo,haiwezekani waanze kupoteza muda dakika za awali namna hii
 
Yanga wamefanya Sub hapa,ametoka Nizar ameingia Shamte Ally
 
Halafu Yanga mna bahati mbaya kweli, Fred Felix Minziro Kataraihya Majeshi baba Isaya Kagera sio timu ya nyumbani kwao kweli, Hamis Kiiza Diego, Haruna Niyonzima Fabregas, Mbuyu Twite na Didier Kavumbagu sio majirani na hii timu kweli hawa wanaweza wakaihujumu timu ya wananchi.
 
Halafu Yanga mna bahati mbaya kweli, Fred Felix Minziro Karaihya Majeshi baba Isaya Kagera sio timu ya nyumbani kwao kweli, Hamis Kiiza Diego, Haruna Niyonzima Fabregas, Mbuyu Twite na Didier Kavumbagu sio majirani na hii timu kweli hawa wanaweza wakaihujumu timu ya wananchi.

duh! conspiracy hizi kali.
 
Back
Top Bottom