Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
ngoja tuone watafungiwa sijui marefa.. maana iko kichapo cha kimoko ni hatare..
Yap marefa wote watafungiwa manake sijui lawama watamtupia nani
ngoja tuone watafungiwa sijui marefa.. maana iko kichapo cha kimoko ni hatare..
Embu na mimi nijikalie kimya kama siku kadhaa hivi...
Mi nafikiri kuyumba kote huku ametusababishia Minziro
YeboYebo a.k.a Tano Bila(5-0), oh Yanga.Nani leo kapigwa na Kagera???????
Ooh hapa tweeter hapa yondani, kiko wapi sasa?
Laana ya dhulumati hiyo na mwaka huu mtaisoma
Bhaaaaaaaaaaaas
....huwa hamuchelewi kuwatolea macho vijana wetu wa kambi ya ulinzi:-Shomali Kapombe na Paul Ngalema wakiwa na kaka yao Said Nassoro ''Chollo''