champions league mtaendelea kuisikilizia kama liverpool.
kweli Mungu siyo Twite wala facebook..Yanga 0 na kagera 1
Mwanza wakimaliza mechi wale Mohamed Trans kurudi Dar,pumb*vu zao
...kocha bado hajazoeana na wachezaji;alinusulika mechi ya kwanza zidi ya Mnyama kwa kumkamia na kuambulia pointi 1 sasa leo kashikishwa Senene wabichi wakamdonoa kidole kimoja na kuambulia pointi 0.Refa angekuwa fair alipaswa kuongeza hata dk 10
Full time Yanga 0 - Kagera 1
Dah mwaka wa shetani huu.
...kocha bado hajazoeana na wachezaji;alinusulika mechi ya kwanza zidi ya Mnyama kwa kumkamia na kuambulia pointi 1 sasa leo kashikishwa Senene wabichi wakamdonoa kidole kimoja na kuambulia pointi 0.
I know Brother lkn wanatunyong'oshesha sana hapa Mjini,hlf mi nikiangalia sababu ya msingi siioni team nzuri huduma nzuri lkn matokeo ya ajabuajabu kama hayaTake it easy mwana-Yanga mwenzangu...una-behave as if wewe siyo bingwa mzoefu bwana? Yanga always finds a way to bounce back from early set backs like this. Hivi umesahau u-championi wa 2010-2011 tulivyouchukua? That's the character of a champion!
Simba will drop loads of points. Azam likewise. While they will be dropping, the reknowned champions will be amassing theirs!
Take it easy meeen!
Yanga kushuka daraja mwaka huu pumbavu zao..