Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

Live updates Yanga Vs Kagera Sugar

Angalia watu wanavyoongea hapa,hiyo ni hapa JF tu huko mtaani si ndo hatari...hapa JF leo wameibuka watu ambao walishasahaulikana kusahaulika kisa Yanga kafungwa
 
No freaking way! Yanga mwaka huu atakuwa champion.

Simba endeleeni kujifariji tu.

Other things remain constant...kwamba mechi zilizobaki zote tupigwe na nyinyi mpige kitu ambacho kipo out of your hands
 
Embu na mimi nijikalie kimya kama siku kadhaa hivi...
 
Yanga kushuka daraja mwaka huu pumb.u zao..

Du, sasa daraja washuke na hizo pumb.u zao zimekosa nini?

Matusi kama haya ndiyo motivator kwa Yanga Afrika ku-perform vizuri zaidi na kulirudisha kombe mahali lilikozoea kukaa - Jangwani!!
 
Other things remain constant...kwamba mechi zilizobaki zote tupigwe na nyinyi mpige kitu ambacho kipo out of your hands

Mpira ungekuwa unafanyiwa analysis kwa reasoning ya aina yako basi Spain mwaka huu bingwa ni Barca na runner up ni Athletico Madrid! Wotsa???
 
Inawezekana ile mechi Simba ilikua aue tena mapema tu.

Narudi pale pale. Mpira huwaga hauko hivo!!

Simba alimpiga Yanga 5-0; Simba akakun'gutwa na Azam 3-1; Azam akarambwa na Yanga 2-0.

Haya sema!!
 
Mpira ungekuwa unafanyiwa analysis kwa reasoning ya aina yako basi Spain mwaka huu bingwa ni Barca na runner up ni Athletico Madrid! Wotsa???

Sasa tisha toto wewe mwenyewe angalia tu. Kuna mtu gani Yanga pale wa kuibeba timu hadi mchhukue kombe?
 
nimesoma kwenye blog fulani ivi....kanda2 alikuwa kapigwa kimoja...dk 70...
 
Mmmh,hzi timu za sukari zinaisumbua sana yanga.naomb ziongezeke!
 
Back
Top Bottom