CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
Hahahahahahahaha.Huyu Twite anarusha mpira kama mtoto anayepopoa maembe na kota
Ngoja Masuke aje athibitishe.
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha.Huyu Twite anarusha mpira kama mtoto anayepopoa maembe na kota
Hahahahahahahaha.
Adui yako mwombee nja.
Za tangu jana mkuu.
Maneno ya mfa maji.salama mkuu, naona leo mambo ya muamala yanaamua mechi
salama mkuu, naona leo mambo ya muamala yanaamua mechi
Yanga pigeni goli la 3.
Hahahahahahahaha.
Ngoja Masuke aje athibitishe.
Zitarudi tu.
Mbaazi ikikosa maua...
Mbaazi ikikosa maua...
Dk 35
Yanga 2 - 0 Ruvu