LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

Ritz na Hamy D wanawatakia ushindi JKT RUVU.
 
Blogu ya Mbeya Yetu inaripoti kuwa Mahakama ya mwanzo mjini Mbeya, imewahukumu kifungo cha miezi 12 jela au kulipa faini ya Shilingi laki tatu kila mmoja, watu watano kati ya sita walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali baada ya kumalizika kwa mchezo wa soka wa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya timu za Mbeya City na Tanzania Prisons.



 
Channel TEN nayo ni majanga, afadhali ya TBC1, broadcast yao ni hafifu na ina mnato sana.
 
Mkuu sijawahi kushabikia Yanga hata mara moja toka nizaliwe lakini ukweli hauna ushabiki, JKT Ruvu haiwezi kurudisha hayo magoli labda wapate wachezaji wawili pale mbele wa uwezo wa Kipre Tchetche na Amis Tambwe ndo wataweza kurudisha lakini zaidi ya hapo watapata labda la kufutia machozi.

wanaweza kutuacha mdomo wazi kwa kubadilika....
 
Naona majanga ya jana bado yanakuandama.
Mkuu jana refa kaniudhi na mashabiki wa Simba wajinga wajinga wameniudhi sana, Kibadeni naye ameniudhi kwa tabia yake ya kupeleka wachezaji kikosi cha pili, mwaka jana pia tulianza kuharibu baada ya Nyoso kupelekwa kikosi cha pili na timu kuanza kuvurugwa mara beki akae Kapombe na Keita au Keita na Owino au Kapombe na Owino yaani vurugu mechi wakati combination ya Maftah, Chollo, Kapombe na Nyoso ilikuwa inafanya vizuri sana, matatizo ya mwaka jana yanaanza kujirudia mwaka huu, Chanongo ana kasi na ndiye amekuwa akiwalisha Tambwe na Mwombeki lakini kuharibu mechi moja tu dogo anatupwa hawa makocha sometimes wanajichongea wenyewe, dawa yao ni kutoenda uwanjani tu mpaka watakapokosa posho.
 
Back
Top Bottom