LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

Hii ndio Yanga, Team ya Wananchi wa Tanzania.
 
Yanga wanakosa goli....kipa wa Ruvu anadaka...
 
Aise hawa Yanga naona wameamua kumfukuza Rage pale msimbazi,ndani ya dk10 goli mbili lol.
 
mkuu Balatanda je waweza tupia list ya vijana humu jamvini? maana wakuu wengine tupo mbali sana ya tv. Halafu hii timu yangu ya wananchi (Yanga) kiwango chake cha leo kikoje?

1. Deo Munishi 'Dida'
2. Mbuyu Twite
3. Oscar Joshua
4. Nadir Haroub
5. Kelvin Yondan
6. Athuman Idd
7. Simon Msuva
8. Frank Domayo
9. Didier Kavumbagu
10.Mrisho Ngassa
11.Hamis Kiiza

Kwa ujumla Yanga wametawala mchezo...
 
Back
Top Bottom