ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Hivi Tbccm hawaoneshi hii mechi ama!?
labda wanaonyesha TBC2 mkuu
Hivi Tbccm hawaoneshi hii mechi ama!?
Leo point 3 mhimu
What a goal by Ngassa...
Ile tunaiita professionalism...
Msuva anakosa goli la wazi...
Dogo mpuuzi sana huyu...No wonder mashabiki wa Yanga wanamzomea sana!
YANGA team, funga hao ruvu 3-0, upande wa pili waendelee kuumia
Mechi iko Live Channel Ten