mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
Wapenzi wa Yanga bado endeleeni kubana makalio, maana hata matokeo yakiwa 3-0 bado yanaweza kurejeshwa. Kwani Simba waweze wana nini hadi Ruvu washindwe wana nini?
Hii ya Yondan ni red card
Kwanini wasipigwe hata 5 Mkuu?
mkuu 3 tu, zikizidi itakuwa hatuwatendei haki wachezaji wa timu pinzani, tunaweza kuwapotezea kazi zao mkuu.
Wapenzi wa Yanga bado endeleeni kubana makalio, maana hata matokeo yakiwa 3-0 bado yanaweza kurejeshwa. Kwani Simba waweze wana nini hadi Ruvu washindwe wana nini?
Goooool ayaaa kipa kaokoa
Nakumbuka la jana lilivyo rudi.
kwani mechi imeisha? au umesahau zile 3 zilivyo rudi?
Jkt ni chekesheni kama walivyo ni chekesha Jana wakata miwa.
Una habari Rage kala pesa za Okwi?
mkuu Balatanda je waweza tupia list ya vijana humu jamvini? maana wakuu wengine tupo mbali sana ya tv. Halafu hii timu yangu ya wananchi (Yanga) kiwango chake cha leo kikoje?
Una habari Rage kala pesa za Okwi?