LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

Yatasemwa mengi sana wakuu:

Lakini matokeo ya jana ni:

JKT Ruvu 0-4 Yanga
 
Yanga Timu ya Wananchi wa Tanzania.
 
Naiona safari ya kibadeni kutafuta timu nyingine inanukia vile.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo na wenyewe kila walipokuwa wanakosa penati zilikuwa zinarudiwa?
Unakusudia sheria ya kurudia penalti ilitungwa na CECAFA tu, tena kwa mashindano ya Klabu zake bingwa tu, tena siku ilipocheza Yanga tu?
 
Unakusudia sheria ya kurudia penalti ilitungwa na CECAFA tu, tena kwa mashindano ya Klabu zake bingwa tu, tena siku ilipocheza Yanga tu?

Jibu swali sio na wewe kuniuliza swali, kwa sababu umeamua kurelate, relate kila kitu na sio kuchukua nusu nusu halafu unataka mimi ndo nijibu maswali yako.
 
Jibu swali sio na wewe kuniuliza swali, kwa sababu umeamua kurelate, relate kila kitu na sio kuchukua nusu nusu halafu unataka mimi ndo nijibu maswali yako.
Kwenye mawasiliano yoyote, kinachokusudiwa kufikishwa ni ujumbe. Unaweza kufikishwa kwa njia ya amri, swala, jawabu au mshangao, iwe kwa maandishi, kauli ya mdomo, hatimkato au vyovyote vingine. Inavyoelekea ujumbe umekufika, na ndio madhumuni yangu.
 
Back
Top Bottom