LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

Sina wasiwasi kabisa najua zote hizo zinarudi kipindi cha pili
 
Mashabiki wa simba tuna waomben msije mkakata network
 
Mrusha mpira wetu Twite anatoka nje anaingia Job...
 
Inawezekana TBC1 hawaoneshi mpira kwa sababu ya Bunge?

Yanga wanafanya sub Twite kaumia,anatoka anaingia Ibrahim Job..

Mpira ni Half Time
 
Invisible anawapongeza Yanga kwa ushindi wa 2 bila kipindi cha kwanza.
 
Dk 40

Yanga 2 - 0 Ruvu

Yanga wanapata kona...wanaanza kona fupi...inapigwa krosi kipa wa Ruvu anadaka

Mkuu nakukubali lete vitu kama jana,,,,,,,,,,,,najiona kama nipo uwanjani vile.
 
Sina wasiwasi kabisa najua zote hizo zinarudi kipindi cha pili

Mkuu sijawahi kushabikia Yanga hata mara moja toka nizaliwe lakini ukweli hauna ushabiki, JKT Ruvu haiwezi kurudisha hayo magoli labda wapate wachezaji wawili pale mbele wa uwezo wa Kipre Tchetche na Amis Tambwe ndo wataweza kurudisha lakini zaidi ya hapo watapata labda la kufutia machozi.
 
Ruvu mbona mmezubaa , kipindi cha pili tunataka mcheze mpira
 
MziziMkavu anawatakia kila heri Yanga.
 
Back
Top Bottom