ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
What a miss by Msuva...
huyu dogo tatizo lake kalidhika mapema ndio maana anakosa kizembezembe tu..
What a miss by Msuva...
Kwa kweli Tanzania hatuna timu za maana (Yanga pamoja na kuongoza magoli matatu wanabutua butua tu na wengi wako timu ya Taifa halafu wanawakilisha nchi kwenye ligi ya mabingwa) sasa najua kwa nini Taifa star haifanyi vizuri na hata mashindano ya CAF vilabu vyetu havifanyi vizuri, Asante Azam TV kutuonyesha uozo wa ligi yetu.
Hongereni! Ila na wasiwasi na Manji
Hongereni! Ila na wasiwasi na Manji
Timu inaongoza kwa magoli manne na haijafungwa goli hata moja, Tegete kakosa magoli matatu ya wazi, Kiiza kakosa magoli matatu ya wazi bado mnasema inacheza vibaya!!!
Ama kucheza vibaya kuna tafsiri mpya?...WANAFIKI, ni wivu tu unawasumbua nyie watu...
Full Time
JKT Ruvu 0-4 Yanga
Manji kafanyaje?
Mkuu, unachokisema kinaweza kuwa kweli lakini hili tatizo litakuwa si la Tz pekee bali Cecafa countries zote, maana Yanga hao hao unaowaponda wamekuwa wakibeba Kagame back-to-back!
Pia tukumbuke Chelsea alichukua UEFA Champions League 2012 kwa kubutuabutua hivo hivo kuanzia semi- final hadi final...
Pia mkuu, embu tuwe wakweli kidogo.... inawezekana pia comment yako hapo juu imekuwa prompted na kawivu kidogo kwa mpinzani wako wa jadi kwa vile unaona anafanikiwa!!
Kafanya nini Manji?
Si ndo hawa walikuwa hawataki kuonyeshwa kwenye TV, maana hata mashabiki wao humu JF inavyoonekana wanacomment baada ya kuona kwenye TV sasa sijui kwa nini macho kodo kwenye TV wakati walikuwa hawataki mechi zao zionyeshwe.leo naona wachezaji wa yanga wamekubali kuhojiwa naona ujinga unaanza kuwatoka sana..
Simba anamalizia round I na Ashanti United, kapata point 1 kwa Yanga, Coastal Union, Kagera Sugar na point 0 toka kwa Azam: Je atafanya nini kwa Ashanti?
leo naona wachezaji wa yanga wamekubali kuhojiwa naona ujinga unaanza kuwatoka sana..