LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

yaani ingekuwa ni kwenye redio tungekomaa maana yanga hamna wanachokicheza ingawa wanaongoza..

Unataka wacheze soka linalokuvutia?...

Vipi wanaocheza soka la 'kuvutia' na wanaambulia point 1 ama kufungwa?..m

Mourinho pamoja na ubora wake timu yake haisifiwi kwa kucheza vizuri, yeye huwafundisha namna ya kufunga na kupaki bus...anachotaka ni point 3 tu..

Btw...Sishangai kauli hizi kutoka kwa mashabiki wa Simba na Azam
 
hizi chance za ruvu angezipata kipre cheche sasa hvi tunaongea mengine..
 
Dakika ya 85

JKT Ruvu 0-3 Yanga

Salamu zao wazee wa sare..
 
huyu tegete aache kwenda traveltine ndio kuna mwaribu forward makini wa yanga..
 
Wazee wa 3 bila 3 bila...

Mechi 3 magoli 9...

Kiiza anakosa goli la wazi...Kona

Gooooooal la 4

Tegete...Goli rahisiiiiii
 
Huna lolote mtani...Kijiba cha roho tu kinakusumbua...

Dakika ya 80

JKT Ruvu 0-3 Yanga

Point 3 swaaaaafi...

Salamu zao wataalamu wa sare..

Kelvin Yondan nje, Reliant Luasajo ndani...
Mkuu kwani kuna haja ya kubishana, mashindano ya CECAFA hayako mbali na mashindano ya CAF club bingwa ambao nyie ni wawakilishi hayako mbali vile vile, ngoja mkakutane na mabingwa wenzenu ndo mtaenda kubishana nao huko.
 
Unataka wacheze soka linalokuvutia?...

Vipi wanaocheza soka la 'kuvutia' na wanaambulia point 1 ama kufungwa?..m

Mourinho pamoja na ubora wake timu yake haisifiwi kwa kucheza vizuri, yeye huwafundisha namna ya kufunga na kupaki bus...anachotaka ni point 3 tu..

Btw...Sishangai kauli hizi kutoka kwa mashabiki wa Simba na Azam

Mkuu, nakupata ... kwa hiyo kwa lugha nyingine mpira/ubora wa timu ni magoli na kupaki 'bus'?!
 
Back
Top Bottom