LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

haya madharau ya yanga huwa naonaga heri si tuwafunge kuliko hata ubingwa

Na ndio mashabiki wengi wa Simba na viongozi wenu mpo hivyo...

Kuifunga Yanga mnaona ni mafanikio makubwa kuliko kutafuta ubingwa...

Rejelea muhtasari wa Rage siku moja baada ya Simba kudroo na Yanga...
 
Hello!!?? Umeanza kushabikia mpira lini?

Yanga bingwa Cecafa mara 5...katika hizi imechukua mara 2 nje ya Tz. Upo?

Simba yenu ni bingwa mara 6.....zote hapahapa Bongo(usihesabu ile ya Zenj maana hata Yanga alibeba kule).
Hajui kama Yanga kabeba ndoo mara 2 (mwaka 1993 na 1999) ndani ya Nakivubo, Uganda.....

Hajui kama neno Lunyamila ulikuwa ni wimbo wa Taifa Kampala.....Watoto wa juzi hao, wasaidieni kuwapa japo kijihistoria kidogo....

Na ndetichia kwa taarifa yako tu, Simba haijawahi kuchukua kombe la CECAFA nje ya ardhi ya Tanzania.....Ni Yanga pekee....
 
Last edited by a moderator:
Na ndio mashabiki wengi wa Simba na viongozi wenu mpo hivyo...

Kuifunga Yanga mnaona ni mafanikio makubwa kuliko kutafuta ubingwa...

Rejelea muhtasari wa Rage siku moja baada ya Simba kudroo na Yanga...

si kweli target ya simba ni ubingwa ila yanga kazi yao ni kuingiza mkono wao kwenye mechi za simba ili mradi simba isipate matokea
 
Simba mpira wao ni kuifunga Yanga baaasi
 
si kweli target ya simba ni ubingwa ila yanga kazi yao ni kuingiza mkono wao kwenye mechi za simba ili mradi simba isipate matokea
wanahusika sana kwa mechi za simba indirect
 
Na ndio mashabiki wengi wa Simba na viongozi wenu mpo hivyo...

Kuifunga Yanga mnaona ni mafanikio makubwa kuliko kutafuta ubingwa...

Rejelea muhtasari wa Rage siku moja baada ya Simba kudroo na Yanga...
tusubiri hizo mbio zenu round ya pili
 
Kawaida jke hutangulia mbele na hatimaye "DUME" kukamilisha mxafara,...
 
tusubiri hizo mbio zenu round ya pili

Hivi unajua kwamba Yanga ndiye Bingwa mtetezi...hiyo ni heshima ambayo Simba na timu nyingine inapaswa muitambue.

Mathalani kule England ktk EPL, pamoja na Man Utd kufanya vibaya lakini kwa heshima ya utetezi wa ubingwa mtu kama Wenger bado anaweka heshima ya kutowadharau.
 
Naona Dida ana Clean Sheet tatu, alikuwa wapi siku zote
 
Hivi unajua kwamba Yanga ndiye Bingwa mtetezi...hiyo ni heshima ambayo Simba na timu nyingine inapaswa muitambue.

Mathalani kule England ktk EPL, pamoja na Man Utd kufanya vibaya lakini kwa heshima ya utetezi wa ubingwa mtu kama Wenger bado anaweka heshima ya kutowadharau.
naona ushindi wa yanga leo unajifariji nao kuboronga kwa man u
 
Ni kweli mkuu sijawahi kushabikia Yanga maisha yangu yote na sitakuja kushabikia lakini mimi sina wivu wa hivyo na wala sina ushabiki wa mihemuko penye ukweli tunasema hata jana kama ulifuatilia ule uzi wa Simba na Kagera baada ya kipindi cha kwanza nilisema Simba pamoja na kuongoza hawakucheza vizuri kwa hiyo sina upofu wa kishabiki, mnaweza kuwa bora kwa sababu mnafunga magoli na sasa mnaongoza ligi lakini ukitaka kujiridhisha kama ni bora kweli angalia kwenye timu tatu zinazofuatia mmechukua pointi ngapi?

Kwa sasa ukiniuliza kikosi imara kabisa kwenye ligi yetu nitakwambia Azam, Mbeya City sijawaona hata Coastal sijawaona hivyo siwezi kucomment, offcourse hata nyie ni bora kuliko sisi lakini kumbukeni mnawakilisha nchi kwenye ligi ya mabingwa kosa kosa zenu mwaka juzi ziliwacost dhidi ya Zamalek, mlistahili kushinda uwanja wa Taifa tena kwa magoli mengi, lakini kwa kukosa umakini mkaishia droo na ugenini wenzenu wakashinda na kutupwa nje ya mashindano round ya kwanza.

Acha kulinganisha na Chelsea wenzetu wanajua wanachokifanya na wachezaji wao ni first class wanaweza kucheza timu yoyote hapa duniani, wanapozuia waakuwa wanajua wanafanya nini na ndo maana wana nidhamu ya kukaba.

Ubingwa wa Kagame mara mbili mfululizo wakati Tenga akiwa m/kiti wa CECAFA sio wa kuringia sana, kumbuka mwaka ule kuingia robo fainali na nusu fainali penati zilivyokuwa zinarudiwa rudiwa, ile hali sio hali ya kawaida.

Pamoja na yote hayo nawapongeza kwa ushindi wa leo na kuongoza ligi.

Mkuu, wewe ni entertainer mzuri sana. Lol
 
Ubingwa wa Kagame mara mbili mfululizo wakati Tenga akiwa m/kiti wa CECAFA sio wa kuringia sana,

Ndio kusema ubingwa mara kadhaa wa Kombe la Dunia walipoupata wakati raia wao Havalange akiwa rais wa FIFA si wa kuringia kwa Brazil?
 
Kwa hiyo na wenyewe kila walipokuwa wanakosa penati zilikuwa zinarudiwa?
 
Back
Top Bottom