Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
hiki kipindi cha pili sioni kabisa yanga wanafanya nini..
Ulitaka wafanye nini Chifu maana tayari kipindi cha pili wamefunga goli la 3...
hiki kipindi cha pili sioni kabisa yanga wanafanya nini..
naona leo yanga meno nje
Ndio amepiga goli 7 mpaka sasa we umeelewaje?
Una malaria wewe.
naona leo yanga meno nje
Wekeni msimamo wa ligi hapa tuudadavue.
Kwani wamekuwa tembo au ngiri?
Refa hataki kutoa penati kunusuru viti vya uwanja wa Taifa.
mungu atasaidia leo watu hawatavunja viti tena leo
ndio ngasa anashika sasa mpira.. toka kipindi cha pili kimeanza..