Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,505
Jkt wamepga mpira wa maana second half. Yanga imeshnda ila kpnd cha pili wamebutua sana. Halaf yanga hawana pumzi ya kucheza dakika zote tisini.
Mwisho wa siku mpira magoli
Jkt wamepga mpira wa maana second half. Yanga imeshnda ila kpnd cha pili wamebutua sana. Halaf yanga hawana pumzi ya kucheza dakika zote tisini.
Unachotakiwa kunielewa ni kwamba JKT Ruvu 0-4 Yanga...Mkuu hata hueleweki unachotetea ni nini, kwa hiyo timu kukosa magoli sita ya wazi ndo timu imecheza vizuri? Anyway hongereni kwa kuongoza ligi.
Yanga anamaliza na nani mechi ya mwisho?
yanga ni timu ya dk 45 tu kipindi cha pili hawakufanya la maana, wachezaji walionyesha kuchoka sana
Yanga wana tushikia nafasi yetu. Kesho tuta fanya mauji ya kimbari na kurudi kileleni kama kawa. Viva Azam. sei o seú curaçao não gosta este quipà más ad gostar qualquer dia.
Yanga anamaliza na nani mechi ya mwisho?
Dk.2 za nyongeza
Wajeda wa JKT Oljoro...
kweli brave one. Vp mmeshaanza kuchanga hela kwa ajili ya kununulia viti mlivyong'oa jana?
Chuki BINAFSI.....hawa yanga wenyewe wanachukua kombe wakiwa bongo ila sehemu zingine vichapo tu..
Ole wako refa uwape penati, na sisi tutang'oa viti kama wale wa jana.
Si ndo hawa walikuwa hawataki kuonyeshwa kwenye TV, maana hata mashabiki wao humu JF inavyoonekana wanacomment baada ya kuona kwenye TV sasa sijui kwa nini macho kodo kwenye TV wakati walikuwa hawataki mechi zao zionyeshwe.
Simba anamalizia round I na Ashanti United, kapata point 1 kwa Yanga, Coastal Union, Kagera Sugar na point 0 toka kwa Azam: Je atafanya nini kwa Ashanti?
Tulikuwa na madai yetu, yametekelezwa, tugomee nini? Una hasira na ushindi wetu wewe!
Hapo mlipo si ndiyo nafasi yenu ya kila mwaka, mnataka muende wapi tena? Azam ni wa kubaki hapo hapo kama Kapeto.
Tutashinda wewe.Nyie na Ashanti hii hamshindi kamwe
Yaani Yanga wataniua kwa raha mwaka huu!