Unataka wacheze soka linalokuvutia?...
Vipi wanaocheza soka la 'kuvutia' na wanaambulia point 1 ama kufungwa?..m
Mourinho pamoja na ubora wake timu yake haisifiwi kwa kucheza vizuri, yeye huwafundisha namna ya kufunga na kupaki bus...anachotaka ni point 3 tu..
Btw...Sishangai kauli hizi kutoka kwa mashabiki wa Simba na Azam
Wazee wa 3 bila 3 bila...
Mechi 3 magoli 9...
Kiiza anakosa goli la wazi...Kona
Gooooooal la 4
Tegete...Goli rahisiiiiii
nadhani ndio mechi inayofata sasa.
Waosha vinywa kazi kwenyu sasa...
Dakika ya 90
JKT Ruvu 0-4 Yanga
Bahati yao mbulula hao.Bado moja tu .
Hongereni! Ila na wasiwasi na Manji
Timu inaongoza kwa magoli manne na haijafungwa goli hata moja, Tegete kakosa magoli matatu ya wazi, Kiiza kakosa magoli matatu ya wazi bado mnasema inacheza vibaya!!!wewe unaona wanacheza vizuri mkuu au basi tu haya mzee wa jahazi kashinda goli rahisi sana..