Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,926
Baadae watakuua kwa presha.Yaani Yanga wataniua kwa raha mwaka huu!
Baadae watakuua kwa presha.Yaani Yanga wataniua kwa raha mwaka huu!
Yaani Yanga wataniua kwa raha mwaka huu!
Matokeo ya leo ni:Mkuu kwani kuna haja ya kubishana, mashindano ya CECAFA hayako mbali na mashindano ya CAF club bingwa ambao nyie ni wawakilishi hayako mbali vile vile, ngoja mkakutane na mabingwa wenzenu ndo mtaenda kubishana nao huko.
Yaani Yanga wataniua kwa raha mwaka huu!
Ni kweli mkuu sijawahi kushabikia Yanga maisha yangu yote na sitakuja kushabikia lakini mimi sina wivu wa hivyo na wala sina ushabiki wa mihemuko penye ukweli tunasema hata jana kama ulifuatilia ule uzi wa Simba na Kagera baada ya kipindi cha kwanza nilisema Simba pamoja na kuongoza hawakucheza vizuri kwa hiyo sina upofu wa kishabiki, mnaweza kuwa bora kwa sababu mnafunga magoli na sasa mnaongoza ligi lakini ukitaka kujiridhisha kama ni bora kweli angalia kwenye timu tatu zinazofuatia mmechukua pointi ngapi?Mkuu, unachokisema kinaweza kuwa kweli lakini hili tatizo litakuwa si la Tz pekee bali Cecafa countries zote, maana Yanga hao hao unaowaponda wamekuwa wakibeba Kagame back-to-back!
Pia tukumbuke Chelsea alichukua UEFA Champions League 2012 kwa kubutuabutua hivo hivo kuanzia semi- final hadi final...
Pia mkuu, embu tuwe wakweli kidogo.... inawezekana pia comment yako hapo juu imekuwa prompted na kawivu kidogo kwa mpinzani wako wa jadi kwa vile unaona anafanikiwa!!
hawa yanga wenyewe wanachukua kombe wakiwa bongo ila sehemu zingine vichapo tu..
Tutashinda wewe.
hivi hii kiburi mnaipata wapi?Hamna ubavu huo
Simba wamebakia kujifariji na 3 walizo rudisha
Matokeo ya leo ni:Mkuu, nakupata ... kwa hiyo kwa lugha nyingine mpira/ubora wa timu ni magoli na kupaki 'bus'?!
Hello!!?? Umeanza kushabikia mpira lini?
Yanga bingwa Cecafa mara 5...katika hizi imechukua mara 2 nje ya Tz. Upo?
Simba yenu ni bingwa mara 6.....zote hapahapa Bongo(usihesabu ile ya Zenj maana hata Yanga alibeba kule).
hivi hii kiburi mnaipata wapi?
Hii gemu itapigwa Taifa?
Tofauti yao na sisi ni kuwa TUNATAKA UBINGWA lakini wao wanataka tu wasifungwe na Yanga. Mwisho wa siku wanabaki kufanya fujo na kung'oa viti uwanjani.
Naam mpwa itakuwa Taifa...
Yanga anamaliza raundi ya kwanza na JKT Oljoro uwanja wa Taifa....Itakuwa tarehe 07/11/2013Yanga anamaliza na nani mechi ya mwisho?
haya madharau ya yanga huwa naonaga heri si tuwafunge kuliko hata ubingwaIpo wazi Simba hawezi mfunga Ashanti labda Ulimboka atumwe bila TAKUKURU kujua.
Yanga anamaliza raundi ya kwanza na JKT Oljoro uwanja wa Taifa....Itakuwa tarehe 07/11/2013