CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
Kwa nini usiweke wewe?
Hahahaha.
Nilitaka nijue kama wewe ni jangwani au kwa msomali.
Kwa nini usiweke wewe?
hivi ule upande wa simba leo wapo?
Kwa kweli Tanzania hatuna timu za maana (Yanga pamoja na kuongoza magoli matatu wanabutua butua tu na wengi wako timu ya Taifa halafu wanawakilisha nchi kwenye ligi ya mabingwa) sasa najua kwa nini Taifa star haifanyi vizuri na hata mashindano ya CAF vilabu vyetu havifanyi vizuri, Asante Azam TV kutuonyesha uozo wa ligi yetu.
Hatuwezi kuvunja viti hatujatoroka milembe
Yanga akikamata kibonde!!!!!
haya ulete hapa www.tff.org.tzWekeni msimamo wa ligi hapa tuudadavue.
subiri mechi iishe kwanzahuyu refa wa hovyooo..
Anacheza netball au basketball?
Sio lazima upost
Refa hataki kutoa penati kunusuru viti vya uwanja wa Taifa.
Huyu refa wa hovyooo..
Huyu refa wa
Nikweli maana anawaminya sana Yanga.
Kwa kweli Tanzania hatuna timu za maana (Yanga pamoja na kuongoza magoli matatu wanabutua butua tu na wengi wako timu ya Taifa halafu wanawakilisha nchi kwenye ligi ya mabingwa) sasa najua kwa nini Taifa star haifanyi vizuri na hata mashindano ya CAF vilabu vyetu havifanyi vizuri, Asante Azam TV kutuonyesha uozo wa ligi yetu.
subiri mechi iishe kwanza