Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Dakika ya 55
JKT Ruvu 0-3 Yanga
JKT Ruvu 0-3 Yanga
hadi rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Inawezekana TBC1 hawaoneshi mpira kwa sababu ya Bunge?
Yanga wanafanya sub Twite kaumia,anatoka anaingia Ibrahim Job..
Mpira ni Half Time
Dida ni booonge la Kipa jamani..
Kesi Mapandeee amejenga kibanda.?
hii rangi ya azam 2 imekaa kiyanga zaidi..
Si bora yeye ndo alikuwa na huzuni sasa assume wewe ndo ungekuwa na huzuniMi shemeji yako Simba damu jana alininyimba chakula cha usiku kwa droo mliyo toa.
Chuna!Na wewe Chadema imeingiaje hapa...??
Piga hao tatu bila simba muache wivu
Yanga ndio timu ya wananchi wa Tanzania.