Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
Ndo raha ya kushabikia yanga
Leo ni JKT0-5YANGA.
Wavuta bangi na wanywa viroba ndio walivunja viti.........
Yanga ndio timu ya wananchi wa Tanzania.
Ndo raha ya kushabikia yanga
Ni wa Yanga na kwa jinsi anavyofurahia ingekuwa yeye ndo mke wangu talaka ingemhusu.
Goooooooooooooooooooo
Kafunga nan?
mmmmhhhhh yakirudi je utasemaje..
Dakika ya 50
JKT Ruvu 0-3 Yanga
Ukiacha goli la kwanza la Mrisho Ngasa, yaani hawa JKT Ruvu wamefungwa magoli rahisi sana na kama wataendelea hivi hivi naona kipigo walichopata Mgambo kitawahusu na wao.
tumefika matatu............