Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
- Thread starter
- #81
tumepost pamoja ndio shida..
Lile bao tayari nimeliweka, nataka taarifa nyingine kama ipo.
tumepost pamoja ndio shida..
Mkuu nilisema watajuta kuwa na timu nyingi za jeshi maana ukiwa na kiungo wa dimba la chini aina Mkude unakuwa huna hofu.
Unachanganya madesa, sema Simba na Yanga ni timu za wanachama na Azam ni timu inamilikiwa na tajiri. Azam kama timu haina chochote na wala haijawahi kuwaingizia faida wamiliki wake mishahara wanayolipwa haitokani na mpira lakini inatokana na mauzo mengine ya bidhaa za Azam. Kwa hiyo kusema Azam ni timu kubwa si kweli haina ukubwa wowote, ukubwa wa timu hupimwa kwa kuangalia mataji iliyochukua pamoja na base ya mashabiki, Azam zaidi ya kombe la mapinduzi na lile la Uhai imechukua kombe gani tena? Mashabiki wa Azam hata humu JF sijui kama wanafika hata watano.yale yale, fact ni kwamba Simba na Yanga ni timu kongwe,Azam ni timu kubwa
Mkuu leo lineup sijaipata kabisa maana hata matokeo ndo nayapata sahivi hapa JF.Mkuu lineup ikoje? Naomba first eleven tafadhali
Mkuu Manji keshamaliza mchezo nje ya uwanja. Hata usihangaike kwenda Taifa kesho.Mkuu naskia Mbeya city wamewekewa mtego na tayari wamenasa?!
Unachanganya madesa, sema Simba na Yanga ni timu za wanachama na Azam ni timu inamilikiwa na tajiri. Azam kama timu haina chochote na wala haijawahi kuwaingizia faida wamiliki wake mishahara wanayolipwa haitokani na mpira lakini inatokana na mauzo mengine ya bidhaa za Azam. Kwa hiyo kusema Azam ni timu kubwa si kweli haina ukubwa wowote, ukubwa wa timu hupimwa kwa kuangalia mataji iliyochukua pamoja na base ya mashabiki, Azam zaidi ya kombe la mapinduzi na lile la Uhai imechukua kombe gani tena? Mashabiki wa Azam hata humu JF sijui kama wanafika hata watano.
kipindi cha II
dk 3
Simba 3-0 JKT Oljoro
Baeleze abo.yale yale, fact ni kwamba Simba na Yanga ni timu kongwe,Azam ni timu kubwa
Duh! Leo hatulaligooooo
Simba 4-0 JKT Oljoro