Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

Game inaanza saa ngapi? Muliopo viwanjani na kwenye runinga mwageni basi hizo Updates twende sawa Jamani.
 
Game inaanza saa ngapi? Muliopo viwanjani na kwenye runinga mwageni basi hizo Updates twende sawa Jamani.

Niko sawa sawa kutoka Taifa, naomba taarifa kutoka Azam Complex kama mechi imeanza.
 
Duh!
Dk 22

Simba 2-0 Oljoro
 
Dk 28 Tambwe

Simba 3-0 Oljoro
 
Back
Top Bottom