Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

JKT Oljoro wanafanya mabadiliko,
Ali nje...
 
...Ivo kidogo ajifunge mwenyewe, mpira umemtoka mikononi
 
Leo sunderland ya Uk inashinda na ya bongo pia dk 80 new castle 0 sunderland 3
 
Unachanganya madesa, sema Simba na Yanga ni timu za wanachama na Azam ni timu inamilikiwa na tajiri. Azam kama timu haina chochote na wala haijawahi kuwaingizia faida wamiliki wake mishahara wanayolipwa haitokani na mpira lakini inatokana na mauzo mengine ya bidhaa za Azam. Kwa hiyo kusema Azam ni timu kubwa si kweli haina ukubwa wowote, ukubwa wa timu hupimwa kwa kuangalia mataji iliyochukua pamoja na base ya mashabiki, Azam zaidi ya kombe la mapinduzi na lile la Uhai imechukua kombe gani tena? Mashabiki wa Azam hata humu JF sijui kama wanafika hata watano.
Mkuu umeongea ukweli kabisa, ukitaka ujue ubaya wa timu ya Azam nenda kawaulize wafanyakazi wa viwanda vya Azam, wanaichukia ile timu ni balaa, pesa wanazotakiwa walipwe wao ndio wanachukua wachezaji. Yaan wale wachezaji wanawanyonya wafanyakazi hasa wabeba viroba, Azam sio timu kubwa hata siku moja ila naweza kufananisha na NYAU KWA AJILI YA KUMTISHIA MKUBWA, sijui kama mkubwa anatishiwa nyau
 
kipindi cha II,

dk 19

Simba 4-0 JKT Oljoro
 
dk29, kipindi cha II,

Simba 4-0 JKT Oljoro

Ivo anaonyesha kama kaumia goti, mpira umesimama...
 
...mpira unaendelea! Ivo anasema yuko sawa!
 
Ivo kaumia tena, kalala chini!
 
...mpira unaendelea, Ivo kanyanyuka!
 
Sasa hizo sub walioingia kina nani?? maana wengine hatuko karibu na tv
 
Back
Top Bottom