Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

KESHO NI KITIMUTIMU:

Yanga Vs Mbeya City, hapa uwanja wa Taifa...
 
kesho tena:

Azam Vs Kagera Sugar
 
Sasa hapo iwe show game tu maana itakuwa mpira wa pete sasa!
 
dk45, kipindi cha II,

Simba 4-0 JKT Oljoro
 
4dk+

kipindi cha II,
Simba 4-0 JKT Oljoro
 
Mpira umekwisha:


Tambwe kapewa mpira wake.


FULL TIME:

Simba 4-0 JKT Oljoro
 
...tukutane kesho wale wapenzi wote wa mpira, kati ya:

Yanga Vs Mbeya City,

Azam Vs Kagera Sugar, ...nk
 
Back
Top Bottom