ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Mkuu ni ngumu sana strategic plan za Azam sio za kuchukua ubingwa mwaka huu 2014,wao mpaka 2020!!
subiri ushuhudie..
Mkuu ni ngumu sana strategic plan za Azam sio za kuchukua ubingwa mwaka huu 2014,wao mpaka 2020!!
c.c WABHEJASANAUtajuta kuanzisha thread ya Simba.Ni sawa na Juliana Shonza kuanzisha thread ya CHADEMA wakati yeye ni gamba
Utajuta kuanzisha thread ya Simba, maana itabidi uwepo hadi mwisho ku.update matokeo. Ni sawa na Juliana Shonza kuanzisha thread ya CHADEMA wakati yeye ni gamba
Siwezi kujuta! Sinywi pombe wala KE, raha yangu ni mpira. Simba wanabahatisha tu, wamekutana na kibonde.
Utajuta kuanzisha thread ya Simba, maana itabidi uwepo hadi mwisho ku.update matokeo. Ni sawa na Juliana Shonza kuanzisha thread ya CHADEMA wakati yeye ni gamba
3dk+
dk 46,
Simba 3-0 JKT Oljoro
takeover mkuu naona msukuma Makoye kazira,kanuna
We chizi nini?!
Toa ujinga wako hapa,pelekasiasa zenu za taka maji huko!
Umepakatwaaa nini?!hapa tuko kwenye jukwaa la sport halafu wewe unakuja na siasa,kawatafute hao waume zako wakina shonza muanzishe thread za siasa!!
Kule Azam Complex hakuna wana JF? Leteni updates.
edit ya ashanti kapigwa moja..
Mkuu ni ngumu sana strategic plan za Azam sio za kuchukua ubingwa mwaka huu 2014,wao mpaka 2020!!
Mkuu nilisema watajuta kuwa na timu nyingi za jeshi maana ukiwa na kiungo wa dimba la chini aina Mkude unakuwa huna hofu.Mnyama leo kala nini? Mbona anaharibu ladha ya mchezo?