...bado anafikiri Simba kabahatisha.
kakimbia huyu
Indomitable Simba. .. kazi nzuri sana. Another clean sheet! Na tangu November tumefungwa goli 2 tu (1 na Okwi, lingine na KCC).
Mkuu sijakimbia simu yangu ya mchina iliishiwa moto huko TANESCO wakiwa wamemwaga giza tangu asubuhi. Sasa umeme umerejea nami nimepata wasaa wa kurekebisha taarifa.
mkuu huku hakunaga siasa sawa..
well done umejitahidi sana..
Ushindi wenyewe wa kununua lol!
Asanteni mliokuwa mnatoa updates. Simba safi sana, salamu kwa yanga.
hapi nyu iya 2 yu 2. Nilikuwa nimefokasi kwenye mechihapi nyu iya mkuu hadi gemu iishe ndo uonekane..
Mkuu kbm tuanzishie uzi usiku huu tuanze kutiririka.
Mkuu subirini tu muanzishe kesho, usiku huu hamtapata wachangiaji.