Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

naona makoye unaangaika kuedit enhee subiri kipindi cha pili hutaangaika..
 
Another hat-trick for Tambwe hope this time watampa mpira wake
 
dk 35,
Simba 3-0 JKT Oljoro
 
Tambwe 28'. Simba 3-0 JKT Oljoro.
Utajuta kuanzisha thread ya Simba, maana itabidi uwepo hadi mwisho ku.update matokeo. Ni sawa na Juliana Shonza kuanzisha thread ya CHADEMA wakati yeye ni gamba
 
Mtego? Wanini tena? Ngojeni Kesho mutoshane nguvu ili iwe rahisi kwa Azam kujibebea taji lake.

Mkuu ni ngumu sana strategic plan za Azam sio za kuchukua ubingwa mwaka huu 2014,wao mpaka 2020!!
 
Utajuta kuanzisha thread ya Simba, maana itabidi uwepo hadi mwisho ku.update matokeo. Ni sawa na Juliana Shonza kuanzisha thread ya CHADEMA wakati yeye ni gamba

mkuu huku hakunaga siasa sawa..
 
Back
Top Bottom