Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

duu humu leo naona bila bila mie huku tanesco wamefanya yao. daaah
DEMBA bhasi majanga maana leo walikuwa wanaimba tena nyimbo nzuri in group if am not mistaken na nyimbo zilikuwa nzuri daaa
 
Last edited by a moderator:
huku kuko full Rutta........nawasubiriaa mapacha kwa steji...........

sijaona updates leo jaman.....sijui lawama tumpe nani

Heaven on Earth leo ni majanga na nimekwenda facebook page ya EATV naona watu karibu wote wana lia na tanesco. niambie huko uliko watu wamefurika
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom