miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
namuona mwakijambile na staili ya nywele mmmh. kiingiacho mjini...............lols
Yaaan huyo wa kwetu bado ushamba haujamtoka
namuona mwakijambile na staili ya nywele mmmh. kiingiacho mjini...............lols
sijawahi kuiona ichek ka iko poa na mie nikatafute....huyu mdada si awe stedishoo tu
maana kuimba hawezi kabisaa
Habebeki huyo toz wa mbagala.....phiona taratibu na mume wangu!!!!
yaani akitoka hata hamu ya kuangalia tpf sijui nitakuwanayo?
mwallu hakuna signal kiaje
Sie tunagombana hapa
Kuna wanaotaka taarifa
Wengine tpf
Wengine Capital...wai
miss strong we vumilia tu
saivi wakati wa phiona
yaani anakera lakini basi tu. safari imewadia
hivi wadau wote wa humu leo mumeenda kuwaona mapacha lidaz au?
Cc heaven on earth ruttashobolwa miss strong atug little angel ntakasi mwallu na wengine
hahaha Heaven on Earth kumbe huko kwa mapacha. huko hali hikoje.nakutegemea kwa updates leo my dia......hawa mapacha hawa....
See u
DEMBA lete updates leo mimi siko arround kideo niko kwenye shughuli ya rafiki yangu anaweka jiko ndani.hivi wadau wote wa humu leo mumeenda kuwaona mapacha lidaz au?
cc Heaven on Earth Ruttashobolwa miss strong atug Little Angel Ntakasi mwallu na wengine