hata mimi sielewi elewi.......nikajua ni mimi tu
Daisy BAD
Kojo Boring......according to Ian
nimechelewa bana...ndo namkuta kojo anamaliziaMapi upo best. mwite na Heaven on Earth
kaimba Daisy hakuimba vizuri ...............poa tuko pamoja umeme upo huko!!!!!!
nimechelewa bana...ndo namkuta kojo anamalizia
Leo kama bss hata hujachelewa
Ugandan guy on stage.. Not bad. But his sister has masacred Michael Jackson's song! Baaaad!!
hii story ya michi kama siielewi.
seriously!!!!???I'm in love with a DJ
hizi nyimbo za leo wala hazina mvuto.
hizi nyimbo za leo wala hazina mvuto.
kwa upepo wa leo sijui hisia itakuwajehe was of key according to Juliana........wameanza kwa kuboronga hawa waganda