Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
Last edited by a moderator:
usiseme kwa sauti hawashindwi kukata katikati ya tpf hawaniko hapa front seat..leo hawajakata umeme siku nzima,,,,,,,naona ni kama miujiza
Mutupe maupdate eeh.... Sie wengine tupo jehanam "gizani"....
Mmmmh Mitch na Joy in African Attires....
usiseme kwa sauti hawashindwi kukata katikati ya tpf hawa
Uuuuuwi !!Michael Jackson akifufuka atazimia!!! Naona hawa wa2 wameshachika. Hii Tusker Iishe 2
Habari za hapa wadau wenzangu?
Leo mbona hata sielewielewi huu upepo!
am here Heaven on Earth, Kojo on stage. walio pita nimechelewa. alaf network ina nisumbua.