Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
- Thread starter
- #1,421
kumbe amos hana lolote jamani. Amebebwa na josh all this tym
mie tangu md niko kwa josh.ile sura ilikuwa inawazubaisha nini
kumbe amos hana lolote jamani. Amebebwa na josh all this tym
Hureeeeee hakuna wa kwenda probation this wiki, wenye mawasiliano na hisia jamani wamwambie ajirekebishe
daa hisia ana kamati ya ufundi hapa jf.
Kasevu athee, bahati yake wameimba kwenye groups!!!!Siyo anaweza.....Lazima leo aingie aisee...
daa hisia ana kamati ya ufundi hapa jf.
Hakika. Ngoja nitafute email yake.Heaven on Earth atug Rutashobolwa NTAkas na wengineo kama kuna mtu anamawasiliano na hamies amwambie amnong'oneze hisia awe anajitahidi kuwa smart bana majins sio kila sehemu yanategemea na nyimbo,
heaven on earth atug rutashobolwa ntakas na wengineo kama kuna mtu anamawasiliano na hamies amwambie amnong'oneze hisia awe anajitahidi kuwa smart bana majins sio kila sehemu yanategemea na nyimbo,
hamies atachoka kumsifia while the competition is getting tougher and tougher.that dude should wake UP
josh kanisuprise na mie...siku zote nilimwona Amos Kichwa...
hahhaaaaaa alienda sumbawanga kabla hajaenda tpf6 lol
mganga wa hisia yupo hai mweeeh.
mganga wa hisia yupo hai mweeeh.
Well said! Hata mi nlikuwa sijaiona hiyo.. Ni kweli kabisaHeaven on Earth atug Rutashobolwa NTAkas na wengineo kama kuna mtu anamawasiliano na hamies amwambie amnong'oneze hisia awe anajitahidi kuwa smart bana majins sio kila sehemu yanategemea na nyimbo,
daa hisia ana kamati ya ufundi hapa jf.
hahahahahahahhaaaaaa alienda sumbawanga kabla hajaenda tpf6 lol
Hermy B always negative commets zake hutoa kwa watanzania mf leo walipoimba wimbo wa awilo longomba aliwapa credit fiona na mwenzie bila kumuappreciate hisia lakin c ajabu ndo tabia za wabongo
Tedo..huo si uzalendo, na hii ndo chanzo cha umaskini wetu si unaona tunachekeana tu hata tunapochemsha..me aint votin for that dude PERIOD arudi tu, labda ajaribu BSS ....but he's a lucky ....
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Last chance for him.Tulienda kimbiji..........teh teh