Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
DEMBA, hisia ana katisha tamaa sana.
Leo kapooza mno
Last edited by a moderator:
DEMBA, hisia ana katisha tamaa sana.
Hope ndo mpango mzima
Kama kutakuwa na probation Hisia will be in..
mhh hata hamies amemchoka hisia.
mhh hata hamies amemchoka hisia.
Hope is the BEST
Hope is the BEST
Daaah Hermes punguza kupoint weakness za mTZEEE mwenzetu...hivi hawezi kupata muda akamwambia apunguze hiki na kile aongeze hiki....Sababu naamini wakenya wanakuwa na access hiyo sababu shindano lipo kwao na Support wanayo kubwa...nia yangu afike japo Top5 basiii..daaah....kaniboa huyu leo....
hamees lakini nae..
basi angemrekebisha alipokosea
ananiudhi sababu anajua sana....nitanunua album yake akitoa baada ya shindano...He nailed it.....
Habebeki huyo toz wa mbagala.....phiona taratibu na mume wangu!!!!
Leo wengi wameboreka......Hisia nae inabidi aimprove jaamani......the competition is getting tougher and tougher
every day........he should know yupo kwenye Competition..