Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

dah! Leo imekula kwangu tena..ngoja tu nifuatilie msemayo
 
Kwakeli huyu jamaa kanikera sana nikiangalia watu walivyo perfom. Kwa kweli nasikitika kuwa hisia anaweza kurudi tz wiki ijayo yani kaniaikitisha kuzidisha utozi.

hahhaha huu ndio mda wa ku act.....angejua watz tunamtegemea yeye.......mie nasikitika sana.......
 
Kwakeli huyu jamaa kanikera sana nikiangalia watu walivyo perfom. Kwa kweli nasikitika kuwa hisia anaweza kurudi tz wiki ijayo yani kaniaikitisha kuzidisha utozi.

uzubavu tu hana utozi wowote ...yaani yupo yupo tu mzee si mzee kijana si kijana
 
Yani hapa ndio weakness za hisia zinaonekana wazi, angalia watu wanavyo imba kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom