Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
- Thread starter
- #1,281
huyu hisia ubrother kaka umemzidi, yaani hachangamki kabisa sijui ndio alivyo?
huu mda ni wa kuchangamka.hata kama ni kwa kupretend.shindano lazid kuwa gum hili
huyu hisia ubrother kaka umemzidi, yaani hachangamki kabisa sijui ndio alivyo?
Unanigusa kwakweli
Ila kama hawautendei haki...!!
huyu jamaa amenikera sana.huu mda ni wa kuchangamka.hata kama ni kwa kupretend.shindano lazid kuwa gum hili
Unanigusa kwakweli
Ila kama hawautendei haki...!!
huyu jamaa amenikera sana.
LolWameufanya wao..I think wameimba poa
huyu jamaa amenikera sana.
Tusker wamejipanga vizuri sana
wiki hii haponi probation ni yake tu.
Waoooo!!! NYAMBURA n JOSH oooooh!! Superrr. I loved it!
na watz tulivo wazembe kupiga kura atatoka tu
huu mda ni wa kuchangamka.hata kama ni kwa kupretend.shindano lazid kuwa gum hili