Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Hermy B n Ian safi sana!. Juliana anamtetea patrick bure. Hana lolote huyo mnyarwansa
 
Hames kaponda.......Ian kaungna nae

Juliana kasifia ila kasema patrick kaimba vizuri kuzidi Phiona

Ian eti anawapa 3 ya kumi
 
jamani kila wimbo hisia anajificha ficha nyuma ya wenzie..yaani hajiachii tukaisikia sauti yake vizuri anakubali kufunikwa na wenzie.....labda ataimba wimbo mwingine tena!
Huyu Hisia anaweza kula probation leo!!!!!!
 
Hope sauti yake ni kama ya jamaa anaitwa Timi from Liberia kama uliwahi kutizama Nigerian Idol ya like 2011. Na jamaa ndo alishinda Nigerian idol. He has a super voice

Mmmh Lakini hawa Amos&Josh....wanaweza kumzidi votes....
 
Hermy B always negative commets zake hutoa kwa watanzania mf leo walipoimba wimbo wa awilo longomba aliwapa credit fiona na mwenzie bila kumuappreciate hisia lakin c ajabu ndo tabia za wabongo
 
Back
Top Bottom