Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Leo hakuna kuseviwa na washiriki.. Wote Angel na Jenniffer wametoka. Kavutha kasema watu wawe serious

daaa na bss wangekuwa hivi watu wangekuwa serious sana.
daa nivizuri watu wawe wanatumia nafasi wanazo pewa si kufanya mchezo.
 
Angel na Jennifer nje. Couches wameamua "no voting by contestants". So wamewatoa wote wawili. Fess na yule "mnyaru" wamepona!!!!!

Let's catch up tomorrow night!!!!
 
daa naona tanzania tutapoteza washiriki mapema sana.
 
daaa na bss wangekuwa hivi watu wangekuwa serious sana.
daa nivizuri watu wawe wanatumia nafasi wanazo pewa si kufanya mchezo.

Yaa leo ni siku ya probation and unasahau maneno ya wimbo it shows ni kiac gani mtu asivyo serious
 
nimechelewa kuona..ila alichofanya angel,sicho nilichotarajia
 
DEMBA my dia jana si nilitoka nikachelewa kurudi home na kisim changu cha

tochi JF naingiaje.....niktamani hata niwe na namba yako au ya atug mniambie kilichojiri

Jaman Heaven on Earth polee kumbe hukuangalia. Angel alitoka na mwenzake Jenniffer.. Abt ma number ask for it and u will b given
 
Last edited by a moderator:
Jaman Heaven on Earth polee kumbe hukuangalia. Angel alitoka na mwenzake Jenniffer.. Abt ma number ask for it and u will b given
atug poa niliona marudio leo ITV,nikapitia na comments zenu hum nilikuwa nachekaje

basi tuonane baadae mwaya...nitakuja PM
 
Last edited by a moderator:
Mapemaaaa......ndani ya mjengo,Sasa kila mtu atafute kichaka maana wa TZ km kawaida yetu kabaki huyo Hisia.
Nje ya Tanzania me wangu yule kijana Mburundi!!!
 
Back
Top Bottom