Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Mambo ya kamata fursa twenzetu.........

Nkakuruhusu we kuni walk hadi kwa Hope..it will be my pleasure

baba ake Dillish nae mbayaa hachezi mbali na opportunities

ngoja nikalale babu....kesho mjukuu wako niende kwenye maadhimisho ya miaka 52 uhuru

Poa mjukuu wangu...nashukuru kwa kunipatia hiyo heshima...Mie kesho naenda kibaruani!!

Hawa wajukuu tutawajadili siku nyingine....

Ila snowhite keshaanza kustuka kwamba siku hizi watoto wa kiume wamepungukiwa viwango kwa kiwango kikubwa sana....

Ni hatari ila hatuna jinsi....

Babu DC!!
 
wajukuu zako hatari hawatakiwi kushiriki shindano lolote ka ni hivyo

wanarudia ITV ka unaweza you can watch now Babu..........

ila nahisi huu mda bibi atakuwa anakuhitaji kwa bedroom

Siwezi kuona mdogo wangu....

Bibi kanisimulia kila kitu na kunipa majonzi ya kajukuu kangu...

Anyway...maisha ndivyo yalivyo!!

Babu DC!!
 
DEMBA nnampango wa kuoa au kuwa na kimada jf ili niwe na sababu ya kurud kila leo..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom