mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,095
- 655
hahah nimechekaje hapa ndo tungekuwa tumeanza lol
What did you enjoy in particular...Mrundi kushinda au kitu kingine?
I have loved kale kabinti ka Uganda kwa kweli...
Unfortunately, sikuona finali..
Babu DC!!
hahaha hako kajukuu kako kalie tu
mshindi ni HOPE kitu cha burundi.......halafu kilisha ni propose
jiandae kuhudhuria harusi yetu BABU DC
Nime enjoy ile kampani niliyokuwa napata katika hii thread........
yaani shindano limetukutanisha wengi tukajuana it ws funny majadiliano yetu
Kale kabint ka UG kalikuwa kanaimba ila from the scratch nilijua hawezi kuwa the winner
Bibi hajaangalia.......kamwambie kuhadithie......ilikuwa nzuri sana
hahah nimechekaje hapa ndo tungekuwa tumeanza lol
Asante Heaven on Earth kutuanzishia siredi
Asante Mungu kwa kutupa nguvu,afya na hukutupungukia,tumeshirikiana vyema na kwa amani.. Tunaomba utupatie wakati na muda mwingine mwakani..
Ushukuriwe wewe uliyetukuka.. Amen
cc wote waliochangia uzi huu
Usiku mwema marafiki
Bibi kanihadithia na ndiye kanizidishia uchungu wa hako kajukuu kangu kanakomwaga machozi....
Naona kana tastes kama za Babu yake....lol!!
Halafu week iliyopita, kajukuu kengine kalitaka kujinyonga kwa ajili ya upuuzi wa kina Madam Ritta na BSS.....
Wananitesea wajukuu hawa watu..
Babu DC!!
Wacha kabisa yani wasanii waalikuwa 20,bado hao wanaoshindanishwa,tungeachaje kukesha hapa,nimependa system yao hivi Madame kwanini habadiliki
anachonikera madam ni kupanga mshindi. nyie pigeni kura mnavyoweza lakini mshindi anamjua yeye
Hao wajukuu zako hatari sana ,kama ndio hivyo usije ukawaruhusu washabikie mpira hasa wa england
Hahahahahahaahh,
Kama nikuwahi opportunities basi sikuwezi....
Umempita babake Delish aliyejitokeza kuwahi shea ya dola 300K!!
Mie nitaku-walk had kwa mwenyewe ukiniruhusu...
Babu DC!!
umeme huu umenikosesha kumwona daisy na amos single! lol! kumbe Hope kashinda ic!
Bibi kanihadithia na ndiye kanizidishia uchungu wa hako kajukuu kangu kanakomwaga machozi....
Naona kana tastes kama za Babu yake....lol!!
Halafu week iliyopita, kajukuu kengine kalitaka kujinyonga kwa ajili ya upuuzi wa kina Madam Ritta na BSS.....
Wananitesea wajukuu hawa watu..
Babu DC!!