Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Kura tumepiga ila ndo hivyo tena

Itakuwa wanatizama na vigezo vingine na sio kura tu

nimeona best, hebu ngoja niwaite na marafiki wengine japo watusaidie kuvote ingawa sina uhakika kama huwa wanachek show,
baby yangu Kaizer wifi yangu KOKUTONA mwanangu Judgement jirani yangu Munkari dadangu zangu AshaDii na gfsonwin na wanajumuiya wenzangu kina Erickb52, Chocs sansharie kiwatengu Mokoyo christina ibrahim amu nawaombeni jamani mtusaidie kumvotia mshiriki pekee kutoka Tanzania aitwaye HISIA ili aweza kurudi na ushindi wa TUSKER PROJECT FAME
Ili kumpigia kura, chukua simu yako nenda kwenye uwanja wa sms andika neno TUSKER 15 kisha tuma kwenda no. 15324. au piga kura online ingia www.tusker.mobi fanya registration kisha upige kura for free.
natanguliza shukurani
 
Babu DC tutamiss uwepo wako pande hii

Tuendelee na majonzi kwakweli
Kweli kabisa,

Issues kama hizi zinasaidia watu kupata nafasi ya kuchangiana mawazo...

Sasa tukamzike mzee Madiba kwanza...

Babu DC!!
 
nimeona best, hebu ngoja niwaite na marafiki wengine japo watusaidie kuvote ingawa sina uhakika kama huwa wanachek show,
baby yangu Kaizer wifi yangu KOKUTONA mwanangu Judgement jirani yangu Munkari dadangu zangu AshaDii na gfsonwin na wanajumuiya wenzangu kina Erickb52, Chocs sansharie kiwatengu Mokoyo christina ibrahim amu nawaombeni jamani mtusaidie kumvotia mshiriki pekee kutoka Tanzania aitwaye HISIA ili aweza kurudi na ushindi wa TUSKER PROJECT FAME
Ili kumpigia kura, chukua simu yako nenda kwenye uwanja wa sms andika neno TUSKER 15 kisha tuma kwenda no. 15324. au piga kura online ingia www.tusker.mobi fanya registration kisha upige kura for free.
natanguliza shukurani

Jamamiiiii i was out of mawasiliano wifi yangu, sorry sorry.
 
Back
Top Bottom