Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,344
Amos And Josh walipewa promo sana..am glad hawakujipendelea....
wakenya hawana longo longo yaani kila mtu anaona kabisa competition ilikuwa fair huku kwetu mmmh, yule aliyeshinda bss sijui ni chaguo la nani.