Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Pole sanaa......leo TPF IMENOGA SANA
Mbeya nimekaapo sana huko.....Soweto........Block T,Mwanjelwa LOL
mmh jaman mbona BIOR hawajamleta
Bior hajaja?
watakata muda si mrefu shauri yako
Daaa mc wa tpf anajua kazi yake vyema.
atug miss strong Heaven on Earth Little Angel DEMBA.
Habari za jioni?
Back am cool.
Hahaaaaaaaaaaaaaaaa nimechekaje......ko kichwa kidogo nacho kinang'aa balaaaaaaaa
walikuambia nini,maana baada ya nyambura kumaliza tu wakakata
yaani yule mama banaunadhani haonagi?? ni km viongozi wetu wanavyopenda kwenda kula bata kwa wenzao badala watengeneze kwao, tushazoea kuharibu tu
The whole package ya TPF ni superb. Hawakosei. Sijui na sisi tutajifunza liniDaaa mc wa tpf anajua kazi yake vyema.
atug miss strong Heaven on Earth Little Angel DEMBA.
Habari za jioni?
Back am cool.