Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Probation ya leo Jenifer akurudi tena,Angel,Phionah na Fess
kura zinahitajika kwa Mtanzania mwenzetu

nahisi kwa mara ya kwanza nitapiga kura this week,ila Fess kura zake
zitakuwa nyngi wakenya wanapiga kura sana
 
Thanx all 4 ua company yaan kumention ntakeshaa. Nimefurahi it was like i had u ppl hapa nilipo. Thnx and mwaaaah!
 
WaTz ujanja ujanja tuache tusipoangalia kila siku tutakuwa tunashindwa mashindano.
 
Haya majamaa hayapo fair wanamuweka huyu dada wa kinyaruanda phior na huyu dogo mwingine kizuizini wakati wamejitahidi hivyo?

Huyo dada wa kinyarwanda wala hatoki
 
Bss hahaaaa live band hamna kitu uimbaji hapana.. Ukizingatia nimetoka kuangalia tusker
 
Back
Top Bottom