ni wa wapi jamani
hawa ni wakenya
Kenya hao.....utapenda wakiimba accapella
Kumbe ni washiriki........nilidhani ni wanamuziki tu wamekuja kutumbuiza waooh ni wakaareeeeeeeeee
BSS ipo nayo????
Heaven on earth ulidhani waalikwa?? hahahaaaa.. washiriki haooo..