Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
duu jukwaa limelipuka...
hahaaaaaaa ila kasema kuhusu vocals,angel naona anawaza
natabiri brobation leo 1. Angel fom tanzania 2. Bior from southern sudam 3.na mkenya mmoja ambaye juliana na ian wamenshambulia. Hata hawa mapacha wanaoimbaa dabo leo lock up
nawatanzania tulivyohatupigi kura. Akiingia on probation tu, ndio home hiyo.
Hawa jamaa nao huwa ni noma sana
Hawa jamaa nao huwa ni noma sana
nawatanzania tulivyohatupigi kura. Akiingia on probation tu, ndio home hiyo.
chelsea 2
Ian bana....."zip it"
ni wa wapi jamani
Hawa jamaa nao huwa ni noma sana