Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,104
Si majungu mkuu. Simba wamezidi kung'oa viti pale Taifa.
Wamezoea kukaa na kulala kwenye nyasi za Mikumi mbugani.
Si majungu mkuu. Simba wamezidi kung'oa viti pale Taifa.
Labda mdundiko, mnamdundia nani maana katika mbio za ubingwa, Simba si moja ya timu zinzowania ubingwa huo.
tunadunda angalau mechi ya leo .. ubingwa kwetu maji marefu mwaka huu
Mwaka wa shetani ..Pole sana Mkuu. Ruvu wanapata penati.